Fainali za Safari Lager Nyama Choma jijini Mwanza yafana sana ndani ya viwanja vya Furahisha jijini Mwanza.
Mgeni Rasmi katika Fainali za Mashindano ya Safari Lager Nyama Choma,Bw. Said Mbweche kutoka (mwenye suti nyeusi) akizungumza machache kabla ya kuanza kutoa zawadi wa washindi mbali mbali wa Mashindano hayo yaliyofanyika leo na kufana sana kwenye viwanja vya Furahisha Mwanza.Wengine Pichani ni wakuu wa idara ya Masoko ya TBL,Majaji wa Mashindano hayo (mwenye mavazi meupe) pamoja na Wadau wa Safari Lager.
Nyama ikiwa jikoni
Nyama ikiandaliwa tayari kwa kwenda kwa wateja waliohudhulia fainali hizo za Safari Lager Nyama Choma.
Nyama ikiendele kuiva jikoni.
Muwakilishi wa Bar ya Shoken ambao ndio Washindi wa Kwanza wa Mashindano ya Safari Lager Nyama Choma jijini Mwanza ,Bw. Kavishe akipokea zawadi yake ya fedha taslim kiasi cha sh. Mil. 1 kutoka kwa Mgeni Rasmi,Bw. Said Mbweche.
Muwakilishi wa AR Bar ambao ni washindi wa Pili akifurahia nafasi aliyoipata.
Muwakilishi wa Victoria prince Bar.
Muwakilishi wa Villa park Bar akichukua zawadi yake ya kushika nafasi ya tano.
Mgeni Rasmi katika Fainali za Mashindano ya Safari Lager Nyama Choma,Bw. Said Mbweche (mwenye suti nyeusi) akizungumza machache kabla ya kuanza kutoa zawadi wa washindi mbali mbali wa Mashindano hayo yaliyofanyika leo na kufana sana kwenye viwanja vya Furahisha Mwanza,Katikati ni Meneja wa Bia ya Safari Lager,Oscer Shelukindo na Kushoto ni Meneja Mauzo wa TBL,Flavian Ngole.
Furaha ya Ushindi kwa Wadau wa Shokeni Bar.
Wadau wa TBL.
Wadau mbalimbali wakiangalia mashindano yanavyoendelea.
Wadau mbalimbali wakiangalia mashindano yanavyoendelea.
Prepared by: Elicy Michael.