Monday, March 19, 2012

UMOJA WA MICHEZO VYUONI.

Michezo huleta mahusiano mazuri miongoni mwa jamii husika.Uwepo wa mashindano yatakayohusisha vyuo vikuu mbalimbali vya nchini Tanzania na hata nchi za jirani utasaidia kujenga umoja miongoni mwa vyuo husika.(Richard Kidubo.)

No comments:

Post a Comment