Baadhi ya kina dada kutoka BAPRM 3 wakiwa wanaelekea uwanja wa kirumba kuangalia mechi ya majaribio kati ya PR 3 na timu inayoshiriki Ligi kuu ya Tanzania Toto African ya mwanza ambapo timu ya Toto African iliibuka na Ushindi wa goli 8-1.(By Emmanuel lyogohya)
No comments:
Post a Comment