Monday, April 16, 2012

KILI MUSIC AWARDS 2012 NDANI YA MLIMANI CITY USIKU WA TAR 14 APRIL 2012.



                     KILI MUSIC AWARDS 2012 NDANI YA MLIMANI CITY 
Waendeshaji wa hafla ya utoaji wa tuzo za Muziki Tanzania walikuwa ni Milard Ayoo na Vanessa Mdee.

Burudani kutoka kwa vijawa T.H.T


Ali Kiba akitoa shukrani baada ya kupata tuzo.

Mshindi wa tuzo ya Dancehall,Quen Darlin akiifurahia tuzo yake mara baada ya kukabidhiwa usiku huu.
Mkongwe katika Tasnia ya Muziki wa Taarab nchini,Bi. Shakira akiimba moja ya nyimbo zake alizowahi kuziimba kipindi cha nyuma.

No comments:

Post a Comment