UBALOZI WA TANZANIA NCHINI INDIA WASHEREHEKEA UBINGWA WA KOMBE LA UNITED CUP 2012
Picha ya pamoja kati ya Maafisa wa Ubalozi na WachezajiVijana wa Kitanzania wakisherehekea ushindi kwa kucheza mziki.
Wachezaji wa Timu wa Mpira wa Miguu ya Ubalozi wa Tanzania nchini India wakikabidhi Kombe la Ushindi kwa Mhe. Balozi Eng. John W. H Kijazi
Mhe. Balozi Kijazi akikabidhi Mipira kwa Mwalimu
Wa
Timu Bw. Suleiman M. Rajab na Nahodha Bw. Roy G.
Mbena
Kombe la Ushindi la Mashindano ya Inter Embassies likiwa meza kuu
Mhe. Balozi Kijazi na
Meneja wa Timu Brigedia. Generali Issa Nassor
wakifurahia Kombe la
Ushindi
Vyakula vya Kitanzania vya aina mbali mbali vilizidisha haiba ya
sherehe
Afisa wa Ubalozi
akimlisha Keki ya Ushindi Nahodha wa Timu
Mhe. Balozi na Watanzania wengine, wakichukua chakula
kilichoandaliwa mahsusi
na Ubalozi kusherehekea ushindi
No comments:
Post a Comment