Monday, April 23, 2012

LIGI KUU YA SOKA YA VODACOM





 Wachezaji wa Simba wakiwa wamembeba Kocha wao, Milovan Cirkovic, baada ya kuifunga Moro United 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar  es salaam. Kwa ushindi huu Simba imejitangazia ubingwa. Kinachosubiriwa ni mchezo wao wa kufunga ligi na Yanga.

 Simba wakifurahia ushindi


                                                           Mashabiki wakiruka kidedea

Kiduku kilitawala ushindi huo ambapo Wekundu hawa wa Msimbazi wamejitangazia ubingwa huku wakisubiri mchezo wao wa mwisho wa ligi na Yanga.(Habari na ELICY MICHAEL)


No comments:

Post a Comment