Kocha wa yanga Kostadin Papic akiwa na kocha wake msaidiziFredy Felix Minziro wakifuatilia kwa makini mchezo wa ligi kuu ya kati ya yanga na Polisi ya dodoma ,uliofanyika katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam.
Mshambuliaji wa Yanga, Hamis Kiiza akiruka daruga la kiungo wa
Polisi Dodoma, Idd Ramadhani wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka
Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es
Salaam. Yanga imeshinda 3-1.
By Elicy Michael
No comments:
Post a Comment