EURO 2012:

Uzoefu mara nyingi ni muhimu sana
katika michuano mikubwa na UEFA EURO 2012 kutakuwepo na wachezaji
wasiopungua 12 ambao wameshacheza mechi zaidi ya 100 - huku kukiwa kuna
wengine wakiwa wanakaribia kufikia idadi hiyo ya mechi.
Wakati kukiwa na mengi ya kuzungumza kuhusu vipaji vya wachezaji
wachanga, uzoefu unaweza ukawa na umuhimu katika michuano mikubwa.
Wachezaji ambao wameshajifunza vitu vingi na kukabiliana na presha ya
mechi kubwa kwa mara nyingi zaidi wana uthamani mkubwa kwa timu yoyote,
na watakuwepo wachezaji namna hiyo wengi wakiuleta uzoefu wao kwenye
michuano ya Euro 2012.
Wanaume 12 watasafiri kwenda Poland na Ukraine huku wakiwa na uzoefu wa
kucheza mechi zaidi ya 100, in fact, huku Spain's goalkeeper Iker
Casillas akiwa anaongoza listi hiyo kwa kucheza mechi 130 akiwa na
mabingwa wa ulaya na dunia. Kipa wa Real Madrid alicheza mechi yake ya
kwanza dhidi ya Sweden miaka 12 iliyopita na akaweka rekodi mpya
Jumatano iliyopita aliposherehekea ushindi wake wa 95 kwenye mechi za
kimataifa wakiwafunga 4-1 Korea ya kusini. Akiwa na miaka 31 'Saint
Iker' mtakatifu Iker sasa atakuwa kiomba kuisadia Spain kushinda kombe
la tatu kubwa mfululizo - huku mchezaji mwenzake Xavi Hernandez ambaye
tayari amecheza mechi 108 tangu acheze mchezo wake wa kwanza miaka 12
iliyopita.
Sweden, Jamhuri ya Ireland na Ukraine nazo zimetoa wachezaji waliocheza
mechi zaidi ya 100 katika vikosi vyao, Anders Svensson akiwa anamfuatia
Casillas kwa kuichezea Sweden mechi 126, akaifuatiwa na mchezaji mwenzie
wa timu taifa Olof Melberg akiwa amecheza mechi 113. Shay Given Given
wa Ireland akiwa amecheza mechi 121, Robbie Keane amecheza mechi 116,
huku wachezaji wawili wa Ukraine Anatoliy Tymoshchuk akicheza mechi 112,
na Andrey Shevchenko 107.
Listi ya wachezaji wazoefu zaidi kwenye UEFA EURO 2012:
Iker Casillas (Spain, 130 caps)
Anders Svensson (Sweden, 126)
Shay Given (Republic of Ireland, 121)
Giorgos Karagounis (Greece, 117)
Miroslav Klose (Germany, 116)
Robbie Keane (Ireland, 116)
Anatoliy Tymoshchuk (Ukraine, 116)
Dennis Rommedahl (Denmark, 116)
Gianluigi Buffon (Italy, 114)
Olof Mellberg (Sweden, 113)
Xavi Hernández (Spain, 108)
Andriy Shevchenko (Ukraine, 107)
Lukas Podolski (Germany, 97)
Damien Duff (Ireland, 96)
Rafael van der Vaart (Netherlands, 96)
Xabi Alonso (Spain, 95)
Josip Šimunić (Croatia, 95)
Ashley Cole (England, 94).
No comments:
Post a Comment