ALLY MAYAY ABADILI MAWAZO -ACHUKUA FOMU YA UMAKAMU WA MWENYEKITI
Mchezaji wa zamani na mmoja ya wajumbe wa kamati ya utendaji ya Yanga ya uongozi uliopita, Ally Mayay amebadili juu ya kutaka kugombea tena ujumbe wa kamati ya utendaji.
Kwaa taarifa nilizonazo kutoka kwake
ni kwamba Ally Mayay sasa ameamua kwenda kuchukua fomu za kugombea
umakamu uenyekiti wa klabu hiyo aliyoichezea kwa mafanikio miaka kadhaa
iliyopita.
No comments:
Post a Comment