ASAMOAH GYAN KUONDOKA RASMI SUNDERLAND
Asamoah Gyan anakaribia kukamilisha uhamisho rasmi wa £10million kujiunga na Al-Ain ya Uarabuni mwezi huu.
Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Ghana, ambaye alitumia muda mrefu wa
msimu kwa kucheza dili la mkopo la kulipwa £200,000 kwa wiki bila kodi -
akitokea Sunderland ya England.(By Elicy Michael)
No comments:
Post a Comment