PAPIC AANGALIA MECHI JUKWAANI - MICHO AJA KUWACHUNGUZA MAFISANGO NA NIYONZIMA
Katibu mkuu wa zamani wa Shirikisho la Soka Tanzania TFF - Fredirick Mwakalebela alikuwepo kuangalia mtanange wa watani wa jadi.
Kocha Mkuu wa Yanga Kostadin Papic alikuwa jukwaani kuangalia timu yake ikifungwa mabao 5-0 kwa sifuri - mserbia huyu inasemekana hayupo katika maelewano mazuri na viongozi wake ndio maana hakuwepo katika benchi la ufundi leo hii.
Azim Dewji akiwa na naibu waziri wa michezo Amos Makalla.
Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Rwanda Amavubi - Micho alikuwepo uwanjani kuwaangalia wachezaji wake Patrick Mafisango na Haruna Niyonzima.PICHA NA ELICY MICHAEL
No comments:
Post a Comment