Ngorongoro Heroes imewasili salama hapa Khartoum jana saa 4 usiku kwa
ajili ya mechi ya michuano ya Afrika kwa vijana wenye umri chini ya
miaka 20 dhidi ya Sudan. Mechi hiyo itachezwa Jumamosi kuanzia saa 2.00
usiku kwenye Uwanja wa Khartoum ambao ni wa nyasi bandia, na hakutakuwa
na kiingilio kwa watazamaji.
http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/ngorongoro-heroes-yawasili-mjini-khartoum
No comments:
Post a Comment